.

.

.

.

Wednesday, September 24, 2008

LATOYA LYAKURWA AREJEA

Latoya ametua Bongo na leo anatalajiwa kuwa na press kueleza nini kilitokea mpaka akawa wa kwanza kutolewa badala ya wa mwisho kama ilivyosiku zote kwa Tanzania. Pichani akiongea uwanja wa JK na Seven ambaye alikuwa mwakilishi wa Mnet nchini kwa utangazaji mara baada kutua napipa akitokea SA.

No comments:

Post a Comment