.

.

.

.

Sunday, September 21, 2008

MWANAFALSAFA AJA UINGEREZA

BongoDjs Entertainments inawaletea "Banjuka Tour" ya mwana Bongo flava muimbaji Khamis Mwinjuma anaenda kwa jina la kisanii la MWANA FA katika miji ya London,Milton Keynes na Reading .Kiingilio katika shoo ya London itakuwa £10 tu.

No comments:

Post a Comment