.

.

.

.

Monday, September 22, 2008

RAIS MTALAJIWA


Kgalema Montlathe makamu mwenyekiti wa chama tawala nchini Afrika ya Kusini anatalajiwa kuwa Raisi wa nchi hiyo baada Raisi wa sasa Thabo Mbeki kujiuzulu, nafasi ambayo atashikilia hadi uchaguzi wa mwaka kesho.
Kiongozi wa ANC Jacob Zuma hawezi kujaza nafasi hiyo kwa vile si mbunge katika bunge la nchi hiyo.

No comments:

Post a Comment