.

.

.

.

Saturday, September 27, 2008

SALA YA EID EL FITR LONDON



EID EL FITRI
Asalamu aleykum.
Tunapenda kuwaalifu waislamu wote kuwa Sala ya Idd El Fitri, itasaliwa katika Ukumbi wa Ravadasia Community uliopo katika mtaa wa Carlyle Road, Manor Park, E12, siku ya Idd Mosi (itategemea kuandama kwa mwezi). Ukumbi utakuwa wazi kuanzia saa moja asubuhi; Sala itaanza saa mbili na nusu asubuhi (8.30 a.m).

Namna ya kufika: Bus nos. 25; 86 kutoka Stratford Bus nos. 25. 86, W19 kutoka Ilford, Bus nos. 101,104,474 kutoka East Ham. Bus no. W19 kutoka Wanstead/Leytonstone

Treni: Manor Park Station (Kutoka Stratford- treni la Shenfield).

Pahala pa kuteremka: Kutoka Stratford- Duka la Army & Navy Kutoka Ilford- Station Road bus stop .Kutoka Wanstead/Leytonstone- Station Road bus stop .Kutoka East Ham- Station Road bus stop.

TANBIHI: Carlyle Road ipo ubavuni mwa Station Road(Off Station Road) karibuna duka la Moona Traders(duka la Saad). Tafadhali tusaidiane kuwaarifu Waislamu wenzetu.Ahsanteni

No comments:

Post a Comment