Miss Vodacom Higher Learning 2009/10, Beatrice Lukindo (katikati) akiwa katika picha ya pozi na mshindi wa pili, Linda Mzinga (kulia) na kushoto ni Doris Donatus, mshindi wa tatu mara baada ya kutangazwa washindi katika mtanange uliofanyika katika viwanja vya karimjee jana.
Tano Bora ya Miss Higher learning 2009
Tano Bora ya Miss Higher learning 2009
No comments:
Post a Comment