Wadau hii list ilikuwa mwaka 1982 vesus Nigeria ikijulikana kama The Green Eagles wakati huo na sio Super Eagles km sasa, Taifa Stars ilisimama hivi, 1.Juma Pondamali,
2.mohamed Hashim Mkweche,
3. Mohamed Kajole,
4.Athuman Juma (sio juma chama)
5. Mohamed Bakari Tall.
6.Mohamed Adolf Rishard,
7. Gordian Mapango,
8.Hussein Ngulungu,
9.Mohamed Salim,
10.Peter Tino,
11.Thueni Ally,
:subs,Jaffari Abdulrahaman,Justin Simfukwe, Ibrahim Magongo,Ibrahim Kiswabi,Alli Katolila,
Mdau Mbegu tupe list ya Timu za Pan Africa , Yanga ,Pamba na Simba za miaka hiyo kama unazo
Ahsante MATUKIOUK
labda useme 1980 sio 1982 kwa kuwa mwaka kulikuwa kuna zamoyono mogella na ahmed amasha,sorry mate umekosea mwaka na huo mwaka w 1980 hio list nina mashaka nayo,naona kama kuna watu kama jela mtagwa,juma mkambi,tenga hawamo sijui umeipata wapi list hio?
ReplyDeleteOCD
Ahsante mdau kwa kunipa fursa hii tena ya kukumbusha timu hizi za Pan-African na Young-African. Nikianza na Pan. 1. Juma Pondamali(Mensar)2.Mohamed Mkweche 3.Jaffari Abdulrahmani 4.Juma Matokeo 5. Jellah Mtagwa,6. Mohamed Rishard(Adolf),7. Gordian Mapango,8. Ngurungu,9.Ibrahim Kiswbabi,10.Mohamed Yahya(Tostao),11.Ally Katolila(Kato) Marehemu. RIP. Zipo pan nyingi ingine ya kina Peter Tino, Abdallah Burhan, John Faya hii next time.
ReplyDeleteTukija ya Young ni kama ifuatavyo.
1.Isega Isindani,2.Rajabu Tangale,3. Salum Kussi,4.Charles Mwanga,5.Omari Kapera,6.Ramadhani Mwinda,7.Shaabani Katwira,8.Rashid Ufunguo,9.Bona Bruno,10.Hemed Burhani,11. Ahmedi Omary. kuna sub: Bona Max,Hussein Juma (mmakonde)Kaburu Vosta,zipo nyingi lakini ni ambazo nina kumbukumbu nazo sana. Ahsanteni wadau, ni mimi Mbegu tena wa Reading.
Moja ya List ya Simba nayo ilikuwa kama ifuatavyo; 1.Mohamed Mambosasa,2.Daudi Salum(Bruce Lee),3. Mohamed Kajole,4.Athuman Juma(sio Chama),5.Mohamed Bakari(Tall),6,Jumanne Hassan(Masimenti)7.Ezekiel Greyson(Jujuman),8.Willy Mwaijibe,9.Adam Saab,10.Abdallah Kibadeni(King Mputa),Martin Kikwa. Ahsante wadau. Mbegu,Reading.UK
ReplyDeleteMoja kati ya list ya Pambaya Mwanza Wana Tupwisa Lindanda,kabla -Paul Rwechungurah,ilikuwa,1.Madata Lubigisa,2.Yusuf Suleimani,3.Suleiman Abeid,4.George Masatu,5.Jolam Mwakatika(kipara),6.Hussein Masha,7.Ibrahim Magongo,8.Juma Amir Maftaha,9.Kitwama Selemani,10.N`teze John,11.Fumo Felician; Sub Maonwa Mkami(Mao). Nakumbuka moja ya mechi yao na Coastal Union, vijana hao T.A walikuwa hivi: 1.Hamisi Makene,2.Samri Ayoub(beki mstaarabu),3.Douglas Muhani,4.Yasin Abuu Napili,5.Kassa Mussa(mjomba),6.Ally Maumba,7.Hussein Mwakuruzo,8.Khalfan Ngassa,9.juma Mgunda,10.Razaki Yusuf(careca),11.Juma Burhani.Mdau Mbegu tena,Ahsante nadhani Kaka Shella Kule Leicester anakumbuka Fainali East African and Central kikosi hichi kilifungwa na Kenya Beweries kwa njama za jirani zetu hao mwaka 1992 kama sikosei,Baada ya Hamis Makene kuumia Against AFC Leopard akaingia Mwameja ktk penalt shooout ndipo Mwameja alipoweza kuokoa penalt moja na kufanikisha Coastal kucheza fainali na Watengeneza bia hao wa Kenya.
ReplyDeleteWewe mdau unaezungumzia mambo ya mogella hujui kitu utasemaje hiyoilikuwa 1980 na mogella alikuwapo? wakati mogella amechaguliwa timu ya taifa ya watoto 1984 kwenda Norwaypamoja na kina, Kasimu7 Matitu, Jamhuri Kiwelo,Omari Tamsi, hamza King,Jesse na wengio chini ya Kocha Gilbert Ndaga, plz hujui mtu unaetaka kubisi nae, Hiyo Mechi ya taifa Stars na Green Egles Ilikuwa 1982 na hakuwepo Juma mkambi hiyo mechi nilikuwa kijana wa miaka 13 na tulifungwa 2-0, wanigeria hao walikua na mchezaji nyota kwa jina ni Mudal lawal ambae alimpa sana shida Mohamed Kajole, na walikuwa na Goalkeeper wao kwa jina ni Best Ogaldebe, usilete ubishi kama hujui kaa kimya, mdau Mbegu
ReplyDeleteAll times Tanzania greats:
ReplyDeleteAthuman Mambosasa
Shaaban Baraza
Mohamed Kajole
Hassan Gobbos
Omar Zimbwe
Aluu Ali
Willy Mwaijibe
Sunday Manara
Gibson Sembuli
Abdallah Kibaden
Maulid Dilunga
mshamba wee Aluu hajacheza a Zimbwe.
ReplyDelete