KUANZIA JUMAPILI HII YA KESHO KUTWA ILE BENDI MACHACHARI YA SOUND AFRIQUE BAND INAREJEA KWENYE KIWANJA CHAKE CHA NYUMBANI CANNING TOWN .JANA USIKU WALIFANYA MAZOEZI MEPESI BAADA YA KUKOSEKANA KATIKA UKUMBI HUO KWA KARIBU MIEZI NANE, SAFU YA WAIMBAJI NI
MAKUTA
AIME
IDO (MAUNO)
KOCHARD
MARAPA WAKO WATATU
CHRIS
BLAISE
SHAMO
WANENGUAJI WA KIKE
NAOMI
STONI
CLARISSE
ADDRESS
147 BARKING ROAD
CANNING TOWN
LONDON E16 4HQ
KILA JUMAPILI KUANZIA SAA MBILI USIKU
KARIBUNI
No comments:
Post a Comment