.

.

.

.

Sunday, July 12, 2009

IRENE UWOYA AFUNGA NDOA

Mr. & Mrs Ndikumana wakivishana pete za ndoa katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar-es-salaam Jana

7 comments:

  1. noma sana jamaa na mihereni yake afu kasuka then church.....Mmh 2heshimu nyumba za ibada...najua wengi watajaribu kulegitimate kwamba ni mambo ya kisasa... no c utamaduni wa mtanzania huo nakataa....very immoral and childish....

    ReplyDelete
  2. Irene uko mrembo, nakuombea uwe mke bora na kuhifadhi ndo yako, mungu akupe kizazi chema, ila kazi yako endelea, we never know !!!!

    ReplyDelete
  3. ungejiua 2008 ungempata wapi ndikumana? Mpende Mungu zaidi kwa sababu hatakuacha kamwe kama mwanadamu. Mpende na mumeo pia kwa sababu kakupa heshima kubwa duniani.

    ReplyDelete
  4. hahahahahaha .wewe mdau mshamba.heshima aitoki kwenye mavazi wala hereni vipini .inatoka rohoni .@mda wako uifika utaheshimu kivyako mbana mapadiri hawajasimamisha kufunga ndoa .haiwahusu hahhahhhahah amka unalala .

    ReplyDelete
  5. kwani kanisani haungii na miherani?najua kwamba kwa mila ya kiislam ni haram mwanaume kuvaa mavazi ama mapambo ya kike,na kwa mwanamke pia haram kujivalisha nguo za kiume,sasa utasema kama kanisani ni jumba ya ibada ambapo haitakiwi kuingia na meherani na huku mwaume amesuka nywele?

    sio kama haipendezi inapendeza kwa Asiyekua Muislam kufanya hivyo kaka.ila nistarehe garama.

    UISLAM NDIO DINI YA HAKI FUATA UPATE KHERI

    ReplyDelete
  6. Irene hongera,kwakupata mume bora ispokuwa uwe mke bora na mshauri wa mumeo ili kujenga familia bora.

    ReplyDelete
  7. Mwenzenu likuwa kwenye shooting ya movie hapa hahahahaha

    ReplyDelete