Wanamitindo 13 waliofuzu kutinga fainali za kuwania mwanamitindo bora wa Afrika Mashariki ni Rihama Mohamed, Gloria Emson, Namrata Mandania, Nshoma Mkwabi, Sarah Kazaura, Cynthia Kimasha na Beatrice Wilbard.Wengine ni Nelly Kamwelu, Doris Godfrey, Evanuru Isaack, Joyce Mbago na Irene Shirima . baadhi ya vigezo vilivyotumika kuwapata washiriki hao ni binti kuwa na umri kati ya miaka 18 hadi 22 na urefu wa sentimita 170-175, kifua cha upana wa sentimita 60. Fainali hizo zinatalajiwa kufanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee, kwa habari zaidi zidi kuangalia blogu hii.
No comments:
Post a Comment