Kuna tetesi kwamba kundi la vichekesho la Ze comedy huenda likazuru nchini Uingereza kabla ya mwisho wa mwaka huu.Kundi hilo limejichukulia umaarufu mkubwa Afrika mashariki na hasa Tanzania ambapo vijana wengi wadogo hupenda kuigiza miondoko ya kusitua ya JOTI na maneno maarufu mitaani kama "mdebwedo na kubonyeza kizenji".
No comments:
Post a Comment