Meneja wa bendi ya muziki wa dansi ya T-Respect, Ali Choki (wapili kutoka kulia) akiwa katika harakati za kurekodi picha za Video ya wimbo wake “Mfano kwa vijana” pamoja na wanenguaji maarufu kutoka bendi mbalimbali akiwemo Aisha Madinda (Kulia) kutoka Afican Stars Twanga Pepeta jana ndani ya viunga vya Hotel ya kisasa ya Atriums Sinza Jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment