Mtalaamu wa bongo flava Alikiba aliyekubalika na wengi na umahiri wake wa kupawagaisha watu atawakilisha vilivyo jukwaani huko Houston Texas ijumaa 24/10/08. wakazi wote wa Texas mnakaribisha mje kucheza cinderella, mac muga nakshi nakshi na vibao vibya kabisa alivyovidondosha karibuni .
No comments:
Post a Comment