.

.

.

.

Thursday, October 23, 2008

WANAUME HALISI NA INSPECTOR

Baada ya Inspector kufanya interviw na kipindi cha Bongo flava ya Clouds Fm, Juma nature na wenzake Luten Kalama pamoja na rich one wanaounda kundi la wanaume halisi wamempinga vibaya, nakudai kuwa wao hawajamtenga ,Rich one ambae ndie anasemekana kuwa manager wa kundi hilo kazungumzia tuhuma za Insp. kudai kuwa hakupewa taarifa yeyote kuhusu show waliofanya Tanga na kusema si za kweli . Juma Nature pia kaendela kuzungumza kuwa Insp. si muhudhuriaji mazoezini kwahiyo inakua taabu kila wakati kumpigia simu kuhusu kitu flani
Alipoouulizwa kuhusu Inspector kuendelea kuwepo kundini ama ndio imetoka , Nature alisema 'yeye ndio alikimbilia kwenye media kwahiyo hajui kama yupo kundini ama la lakini Rich one kadai kuwa yeye si ndio kaja kuzumgumza matatizo yake huku inamaana yeye ndio atasema kama katoka kundini.

No comments:

Post a Comment