.

.

.

.

Wednesday, October 08, 2008

HAPPY BITHDAY MR PRESIDENT

JK akikata keki ya birth day
Rais JK akimlisha keki mtoto Mohamed wakati wa hafla fupi ya kusherekea miaka 58 ya kuzaliwa kwake iliyoandaliwa na wafanyakazi wa ikulu ya Dar es Salaam leo.Mtoto Mohamed ni yatima ambaye Rais Kikwete na Mkewe Mama Salma wanamlea katika familia yao
Katibu mkuu ikulu Bwana Michael Mwanda akimpa kadi ya Birthday Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa niaba ya ya wafanayakazi wa ikulu wakati wa hafla fupi ya kumpongeza Rais Kikwete kwa kutimiza miaka 58 leo

No comments:

Post a Comment