.

.

.

.

Sunday, November 02, 2008

JIJI LA MWANZA

Jengo jipya la PPF ndani ya ROCK CITY .jiji hili linazidi kupendeza kwa vikwangua anga kujichomoza kwa wingi.
Eneo la Capri point jijini Mwanza nyuma ya Tilapia hotel.

No comments:

Post a Comment