.

.

.

.

Tuesday, November 11, 2008

NURU KUFUNGUA SHOW YA ALIKIBA SWEDEN NOV.22

Nuru akiwa amepozi na moja ya mashabiki wake
NURU(KATI) KATIKA POZI NA KINA DADA WA BRICK& LACE
Kama jina lake Nuru atang'arisha mji wa Stockholm,nchini Sweden tarehe 22nov 2008 kwa kumfungulia show Alikiba .Wakazi jiji la stockholm na vitongoji vyake kaeni mkao wa kula kumuona Alikiba ambapo Nuru amebahatika kuwa opening act yake......Zidi kung"arisha nyota yako Nuru.

3 comments:

  1. bombaaaaaaa zidi kushyne dada yetu halafu cuteeee weeeeee

    ReplyDelete
  2. hii hABARI YA ALI KIBA KUJA SWEDEN KAMA MUNATUYEYUSHA TU

    ReplyDelete
  3. we baki nyumbani kama kawaida zenu haters sisi tuenjoy nuru na alikiba...lini tutaacha tabia hii ya kuongea na kuharibia watu biashara zao..joshua

    ReplyDelete