
BI SUSAN MZEE

Picha mwanana za Birthday ya katibu wa ccm London
Bi sussan Mzee iliyofanyika Reading tarehe 07/12/2008 pamoja na sherehe ya Kumkaribisha Mdogo wangu
Dr Charles na Mkewe Dr Mgesi Reading baada ya Harusi yao huko Bongo tarehe 29/11/2008.kwa niaba ya wadau wa blog hii tunapenda kumpongeza Mheshimiwa Sussan.
No comments:
Post a Comment