NDUGU JESSE GEORGE MALONGO WA LONDON UINGEREZA ANASIKITIKA KUTANGA ZA KIFO CHA BABA YAKE MPENDWA MZEE MADAHA GEORGE MALONGO KILICHOTOKEA IJUMAA TAREHE 7 SAA MOJA JIONI. MSIBA UKO NYUMBANI KWA MAREHEMU NO.3 NKOMO NA ALYKHAN ROAD UPANGA,DSM MAZISHI YAMEPANGWA KUFANYIKA SIKU YA JUMANNE JIONI MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DSM .
TUNAMUOMBA MWENYEZI MUNGU AIPUMUZISHE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI
TUNAMUOMBA MWENYEZI MUNGU AIPUMUZISHE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI
pole sana jessie kwa msiba..,my prayers are with you
ReplyDeletepole sana Jesse mungu amlaze mahali pema peponi...
ReplyDeleteTeddy
Pole Ngosha.
ReplyDeleteMay he rest in eternal peace.
Namhala;
ReplyDeleteMulungu Amulangh'ane gete na Ang'winhe lubango ubebe pye ni kaya yako. Ang'winhe lubango nunamhala wise uyo watongelile gulala. Lushiku lumo dugwibona nang'hwe. Wabeja
Staff and management of http://www.myphotocase.com wish to extend our heartfelt condolonces to the family of Late Malongo.We pray that the almighty strengthens you in this trying and sorrowful period.May the late rest in eternal peace.
ReplyDelete