1) Mackenzie Ramadhani
2) Mavumbi Omari
3)Twaha Hamidu
4)Deo Njohole
5)George Masatu
6) Iddi selemani
7) Zamoyoni Mogella
8)Malota Soma"ball juggler"
9) Hamis Gaga "gagarino"
10) John Makelele
11)Raphael Paul
WADAU TUNAOMBA FIRST ELEVEN YA YANGA ENZI HIZO TUICHAPISHE PIA TIMU YA TAIFA ILOENDA LAGOS MIAKA YA THEMANINI KATIKA KOMBE LA MATAIFA HURU YA AFRIKA ENZI ZA PETER TINO
Mdau ni katika kukumbushana tu, kama sikosei hiyo list ya mnyama wa polini hapo juu naona kama imekosewa kidogo, sawa hao wote waliichezea simba ila kuna baadhi walicheza vipindi tofauti, kwa kuwa Twaha Hamidu(Noriega) na idd Suleiman wote walikuwa left back ingawa Idd ni kilaka hata middle anacheza lakini kipindo hicho viungo simba vilikuwa vingi ikawa anacheza sana kushoto. Sasa basi mimi sio mpenzi wa lunyasi(Simba) ila acha nikupe hii ya Mackenzie.... 1.R Mackenzie, 2. Raphael John, 3. Twaha Hamidu, 4.Athumani Maulid, 5.Lilla Shomari(Wakati huo yanga kuna mtu anaitwa Allan Shomari watu tofauti hawa)6.Mtemi Ramadhani, 7.Malota Soma, 8.Abdallah Mwinyimkuu, 9.Edward Chumila, 10.Zamoyoni Mogera, 11.Sunday Juma YANGA AFRICAN WANA WA JANGWANI AU WATOTO WA MJINI: 1.Hamisi Kinye, 2.Yusuph Ismail (Bana), 3.Ahmed Amasha(mathematician), 4.Allan Shomari,5.Ishaka Hassan (chuku) wakati huo Athuani Juma Chama bado yupo nae km reserve ila ni kipindi hicho hicho kifupi Ishaka aliumizwa goti na abdallah Burhani mazoezi ya Taifa Stars ndipo chama aka takeover, 6.Juma Mkambi (General),7.Hussein Idd 8.Charles Boniface(Master),9.Makumbi Juma(Bonga),10.Omary Hussein(Keegan),11.Juma Kampala. Baadae ndio wakaongezeka kina Abeid Mzimba, Nicodemus Mtekele, ok wadau acha nikwamie hapo, siku nyingine tena mdau Mbegu, Reading
ReplyDeleteWOTE MMEKOSEA ILIKUWA HIVI:
ReplyDelete1. MACKENZI RAMADHANI
2. RAPHAEL PAUL
3. TWAHA HAMIDU (NORIEGA)
4. DEO NJOHOLE(OCD)
5. FRANK KASSANGA (BWALYA)
6. IDDI SELEMANI (MEYA)
7. DAN MHOJA
8. HAMIS GAGA (GAGARINO)
9. MALOTA SOMA (BALL JUGGLER)
10. ZAMOYONI MOGELA
11. EDWARD CHUMILA (WONDER BOY)
mmekosea:
ReplyDelete1. MACKENZI RAMADHANI
2. RAPHAEL PAUL
3. TWAHA HAMIDU (NORIEGA)
4. DEO NJOHOLE (OCD)
5. FRANK KASANGA (BWALYA)
6. IDDI SELEMANI (MEYA)
7. DAN MHOJA
8. HAMISI GAGA (GAGARINO)
9. MALOTA SOMA (BALL JUGGLER)
10. ZAMOYONI MOGELA
11. EDWARD CHUMILA
hawa radio one mbona wana mambo ya ajabu sana?eti wamesusia kutangaza habari za simba sport club hasa inaposhinda je radio one na itv ni ya mahasimu wetu au?je mbona kombe tunalichukuwa watafanyaje?kama wana sababu za msingi watueleze maana sisi ni wapenzi wa Simba Spirt Club damudamu na pia tunaipenda Itv na Radio one sasa wanatunyima uhondo.si kutegemea kama vyombo vya habari vya watu wenye majina makubwa nchini kama Ipp media wangekuwa na beef za kimaskini namna hii.ni mimi Mdau wa Kandanda.
ReplyDeleteninafiri ya kwamba sisi sote wan simba basi tususie kusikiliza redio zao na television yao tuangalie tv za vituo vingine na redio zingine kwani waop ni nani ipo redio tanzania tv ya taifa ,chanel ten ,clouds,na zingine nyingi tusiumize vichwa kwa mtu mmoja huyo
ReplyDeleteHakuna timu bora na nzuri iliyowahi kutokea ukanda huu wa Africa kama sio Simba peke yake
ReplyDelete