.

.

.

.

Sunday, October 31, 2010

ELVIS MUSIBA ATUTOKA DUNIANI


Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa "Tanzania Chamber of Commerce, Industry & Agriculture" (TCCIA) Bwana ELVIS A. MUSIBA amefariki dunia alfajiri ya leo. Habari za mipango ya mazishi zitafuata mara tu baada ya kupatikana. Kwa watu walioko London, mnakaribishwa kwa binti yake, Lisa Musiba,

Anwani ni: 6 MANTON Rd ENFIELD MIDDLESEX LONDON, EN3 6XZ Mobile: 07949737185

Pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na wale wote mliofikwa na msiba huu. Roho ya Marehemu Elvis A. Musiba ipumzike pema. AMIN.

No comments:

Post a Comment