Mwanamuziki mahiri katika miondoko ya rhumba Mbilia Bel usiku wa kumkia leo aliwakumbusha wengi hasa wakati ule alipokuwa anawika na vibao kadhaa miaka ya themanini jana kwenye pati ya funga mwaka iliondaliwa na kampuni ya sigara ya TCC iliofanyika nje ya uwanja wa New World Cinema na watu kufurika kwa ajili ya kuwashuhudia wanamuziki hao kutoka Kongo.
No comments:
Post a Comment