Michael Jackson ameibuka na vazi jipya la ajabu alipoonekana akifanya shopping Ijumaa iliopita jijini Los Angeles nyakati za jioni akiwa amevaa kofia ,kinyago cha usoni cheusi na nguo ya kike ya kihindi rangi ya bluu bahari ,mtandio mweusi na viatu vinavyovaliwa ukiwa ndani ya nyumba.Watu kibao walionekana kupigwa butwaa na mshangao alipokuwa akikatiza .
No comments:
Post a Comment