JK ZIARANI NCHINI MSUMBIJI
Mapokezi ya Raisi Kikwete Siku alipowasili nchini msumbiji JK na mwenyeji wake Rais Armando Guebuza wa Msumbiji wakitakiana heri kwa kugonganisha glasi wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa katika ikulu ya Maputo jana usiku.
No comments:
Post a Comment