Maaskofu na wachungaji wa makanisa mbalimbali hapa nchini leo, wametangaza mbele ya vyombo vya habari mkesha mkubwa wa kuliombea amani Taifa letu na kuwataka wananchi kujitokeza kwa wingi katika mkesha huo ambao pia ni wa mwaka mpya 2009 utakaofanyika keshokutwa Uwanja wa Taifa jijini Dar.
No comments:
Post a Comment