.

.

.

.

Tuesday, December 16, 2008

PICHA YA KUMBUKUMBU

Wadau naomba muielezee picha hii ilipigwa wapi,mwaka gani kuhusiana na watu hawa wawili ambao walikuwa mashuhuri duniani na wataendelea kukumbukwa daima kwa vizazi na vizazi na huenda siku moja kanisa katoliki likawasimika kama watakatifu.

No comments:

Post a Comment