.

.

.

.

Wednesday, December 24, 2008

TOLLYWOOD KAMA NOLLYWOOD MUDA TUTAELEKEA BOLLYWOOD HADI HOLLYWOOD

Senema ya from CHINA with LOVE inagombewa kama mpira wa kona .Siku mbili baada ya kudondoka Mitaani, filamu ya kimataifa, From China With Love imeonekana kugombaniwa kama mpira wa kona na wapenzi wa sanaa hiyo ambapo wengi waliopata kuiangalia wametoa ushuhuda kwamba ni muvi ambayo haijawahi kutokea nchini TANZANIA na huenda ikaleta mapinduzi makubwa.Filamu hiyo ambayo tayari imesambazwa karibu nchi nzima, imewafanya baadhi ya watu watamke kwamba, hivi sasa sanaa hiyo Bongo iko juu na huenda siku kadhaa zijazo tutakuwa mbali zaidi tofauti na mwanzo wakati tunaanza, huku Watanzania wengi wakivutiwa zaidi na muvi za nje zikiwemo za KiNigeria.

No comments:

Post a Comment