.

.

.

.

Wednesday, January 07, 2009

ALBAMU YA MPYA YA BUSHOKE YAPIGA HODI

Albamu ya Dunia Njia ya mwanamuziki Bushoke iko tayari na itaanza kuuzwa rasmi madukani Jan 10, 2009. Itakuwa katika mfumo wa Tapes na CD.
Kwa maulizo ya kibiashara, tafadhali piga simu na:+255 774 770077

No comments:

Post a Comment