.

.

.

.

Thursday, January 08, 2009

BINADAMU MZEE KULIKO WOTE DUNIANI

Mwezi November mwaka jana, mtu mzee kuliko wote, Bibi Edna Parker, alifariki huko Indiana, USA akiwa na miaka 115!Leo wataalam wametangaza kuwa Bibi Gertude Baines (pichani), mwenye miaka 114 ni mtu mzee kuliko wote duniani. Bibi Baines, ni mtoto wa watumwa. Alizaliwa mwaka 1894 huko Atlanta, Georgia.Kwa sasa anakaa Los Angeles,California kwenye nyumba ya wazee.

No comments:

Post a Comment