1. Paul Rwechungura,
2. David Mwakalebela,
3. Abdallah Boli,
4. George Masatu,
5. Rashid Abdallah,
6. Hussein Marsha,
7. Beya Simba,
8. Khalfan Ngassa,
9. Fumo Felician,
10. Hamza Mponda,
11. George Gole
Reserve: Nico Bambaga, Juma Amir, Maonwa Mkami, James Washokera, Andrew Godwin
Reserve: Nico Bambaga, Juma Amir, Maonwa Mkami, James Washokera, Andrew Godwin
HICHO KIKOSI KILIKUWA MOTO WE ACHA TU, USINIKUMBUSHE UTAMU WA KANDANDA WALIOTUPA HAO MASHUJAA WA MWANZA EVER
ReplyDeletethta brings good memories of our golden generation....it was also known as TUPWISA LINDANDA KAWEKAMO....but umewasahau Rajab Msoma, Clement Kahabuka, Nteze John Lungu, Bea Simba, Dan Muhoja, John Makelele 'zigzag', etc.
ReplyDeleteHapo Amemsahau Kitwaaaaaaaaaana Seleman, Kitwaaaaana Seleman, Fuuuuuumoh quack! Felician!, Huyo Alikua marehemu Dominick Chilambo Enzi hizo CCM Kirumba! Hatoki mtu, Wadau wa MZA, rudisheni Pamba!
ReplyDeleteDeo mkuki je!?
ReplyDeleteJAMANI, HAPO UMENIKUMBUSHA ZILE PANATI KALI ZA MAONWA Mkami AMBAZO TUNAZIONA LEO HII! Lo! siwezi kusahau zile njia za kichinichi kutokezea uwanjani CCM.
ReplyDeletewadau wa soka wa mwanza pamba ndiyo ilikua timu ya wana mwanza wote,siyo hii toto ambao mafanikio kwao nikuikomalia simba baaasi
ReplyDeleteDuh! Nikikumbuka hayo majina natamani kulia!
ReplyDeleteKIKOSI CHA PAMBA ENZI HIZO
1. PAUL RWECHUNGURA
2. DAVI MWAKALEBELA
3. ABDALLA BORI
4. GORGE MASATU
5. RASHID ABDALLA
6. HUSEIN MARSHA
7. BEYA SIMBA
8. KHALFAN NGASA
9. KITWANA SELEMAN
10. HAMZA MPONDA
11. FUMO FELICIAN
Enzi hizo kulikuwa kuna timu zinatisha acha tu jamani! Mfano Ushirika ya Moshi.
ReplyDeleteKIKOSI CHA USHIRIKA ENZI HIZO
1. OFTEN MARTIN
2. ATHUMAN SHUNDA
3. WAZIRI ALLY
4. DAVID ROGERS
5. WILLY MARTIN
6. PASCAL MAINGU
7. RASHID KONDO
8. ANDREW KABISAMA
9. OMARY ABAS
10. JULIUS KALAMBO
11. VENANCE MWAKALUKWA
Acha kabisa hii mambo!