.

.

.

.

Saturday, January 10, 2009

BOSI MPYA WA UWT

Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania (UWT), Sofia Simba (KaTiKaTi) akipokewa katika viwanja vya bustani ya Mnazi Mmoja jijini BONGO mara baada ya kurejea toka Dodoma ambako aliukwaa uenyekiti baada ya kushinda uchaguzi mkuu wa viongozi wa UWT

No comments:

Post a Comment