.

.

.

.

Sunday, January 11, 2009

TID NA CHOKARAA NA SONGI LAO JIPYA

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed 'TID' akiimba kwa hisia wimbo wa Huyu ni Wangu alioshirikishwa na Khalid Chuma 'Chokoraa' kwenye jukwaa la Twanga Pepeta katika onyesho la Usiku wa Zain, BONGO

No comments:

Post a Comment