.

.

.

.

Friday, January 09, 2009

HODINI WATANI ZANGU MPO !!!

Watani zangu wanaouzunguka Mlima Kilimanjaro na matabaka yao.

WASIHA: they are too backward,hawakwenda shule bado wanavuta ugoro kama wamasai,wanaume wanatahiriwa nusu!! Chaa achana nao.

WAMACHAME:huwezi kujua nani mwanamke na nani mwanaume,kila kitu ni pesa.yaani hata kama ni mkeo wa ndoa inakua hivi,’kama hutoi pesa ya mbege ndoa yangu sikupi babangu’basi kule Machame chakula cha ndoa(mapenzi) ni kwa kipimo,ukiwa katikati mama anakwambia stoooop! Hapo shilingi hamsini zako ndio zimekwisha,ukitaka ongeza uendelee.

WAKIBOSHO:specialized bandits,akina mama wakiwa wanatoa soga na mwenzie utawasikia hivi” yaani dadangu we acha Alex wangu siku hisi amepefuka kweli,ana akili we acha tu! Haibi tena mfukoni siku hisi ameunda kundi lake la ujambasi,krismasi ikifika lazima nitaletewa fitenge fya kongo” ladies likewise AKIOLEWA NA KYASAKA baba na mama wanamwambia hivi” hivi wewe huyu mwanaume kwani ni ndugu yako? Leta hizo pesa sake tujenge huku kwetu manka”!!

WAURU:wakikaa ni kuongea kuhusu shule tuuuuu,masomo,digrii yaani Yukon not bilivu!Babu wa miaka 70 bado madaftari yake ya primary ameweka sandukuni!! Atawaonyesha wajukuu zake,ona hand writing yangu ilivyo nzuri wakati nafundishwa na father Wilson payatt.wanakumbuka majina ya walimu wao hasa wazungu tangu chekechea.wanamwogopa sana Mungu,kengele ya Kanisani ikilia saa sita utawaona wazee wote kilabuni wanasimama na kusali sala ya mchana ndio wanaendelea kunywa mbege.

WA OLD MOSHI:yaani mimi sisemi nenda kachague wewe mwenyewe.wanaume ni wabishi balaa wanakunywa kisusio cha Nguruwe!! Na Gongo nyingiiiiiiiiii!

WAMARANGU:Both wanaume na wanawake maisha ni raha tupu.kwa Mmarangu halisi,kwanza ananunua gari,anachapa maisha,nae kulala kwenye gari wakati kodi ya nyumba inamshinda ni jambo la kawaida.

WAROMBO:kazi mtindo mmoja! Wanawake tunawaita KUBOTA aina ya matrekta yaliyosambazwa Kilimanjaro na wajapani,watafutaji wa pesa!!!! We acha tuu,lakini ukimchezea anakuua na kukimbilia kenya.Wazee hayo ni baadhii ya matabaka ya wachaga tuonane wakati mwingine

No comments:

Post a Comment