.

.

.

.

Thursday, January 08, 2009

MACHINGA COMPLEX

Uwanja Wa Karume na majengo yanayokaribia kumarizika Ujenzi wake ya Machinga complex ambayo yatatumiwa na machinga wapatao 10,000 kufanyia biashara zao. kwa sasa uwanja wa karume umegeuzwa kituo cha mazoezi kwa timu za taifa za vijana, wakubwa na wanawake

No comments:

Post a Comment