.

.

.

.

Tuesday, January 06, 2009

RAIS MPYA WA GHANA HUYU HAPA

Aliyekuwa makamu rais wa Ghana chini ya Rais Jerry Rawlings, Prof. John Atta Mills (64),ndiye aliechaguliwa kuwa Rais mpya wa Nchi hiyo baada ya kusshinda katika uchaguzi uliofanyika jumapili iliopita.

No comments:

Post a Comment