.

.

.

.

Friday, February 13, 2009

JOHARI ....................MHHH !!??


Blandina Chagula maarufu kama JOHARI inasemekana ndio muigizaji wa kike anayeongoza kwa kulipwa mkwanja mnene katika tasnia hiyo ya filamu Kwa mujibu wa "Gazeti la Bab" kubwa linadai mwanadada huyo ambaye ameshashiriki katika filamu 18 hadi sasa anawaburuza wenzie wote kwa kulipwa vyema Baadhi ya movie ambazo ameshafanya Johari ni pamoja na Cold wind,shakira, Yellow banana , Point of No Return na nyingine kibao. Sasa Kibongo Bongo sijui jamaa wamethibitishaje hili kwa kucheki vitu anavyomiliki, labda ana mjengo au anamiliki gari la maana au ana pesa ya maana Bank??

No comments:

Post a Comment