.

.

.

.

Monday, February 23, 2009

IRENE UWOYA ATIMKIA MAJUU

Muigizaji aliyekuwa anashikilia uskani kwa kuigiza filamu nyingi zinazowika kwa sasa Irene Uwoya wengi wakimuita Oprah ameenda majuu nchini Marekani. Japo haijajulikana kaenda majuu kwa muda na shughuli ipi , ila wapenzi wengi wa filamu wamepata taabu kuipokea habari hii wakijua kwamba watapata pengo kubwa katika uigizaji"Du kama huyo dada kaenda Ulaya Marekani kwa muda mrefu atakuwa kaacha pengo ukizingatia hii ilikuwa zamu yake katika fani hii ya movie" alisema mdau"Ah mie naona sawa tu unajua akiwepo mtu mmoja kwa muda mrefu tutamchoka wacha atoke ili vipaji vingine viibuliwe hadi akija kuja nae atakuwa ana jipya" alisema Hafsa ambaye nae pia ni mdau wa filamu.Hakika kama Irene atakuwa hayupo katika filamu kwa muda mrefu kutakuwa na pengo ukizingatia, ye ndo alikuwa anapata deal ya filamu nyingi zilizotoka karibuni

No comments:

Post a Comment