.

.

.

.

Tuesday, February 17, 2009

KOTA ZA KINONDONI

Mmoja wa mkazi wa eneo hilo akiingia nyumbani kwake.

Kwa mujibu wakazi wa kota hizo zilizopo karibu na ofisi za Mkuu wa Wilaya Kinondoni wanasema wamelia sana juu ya tatizo hilo na hasa Mbunge wao Idd Azan bila mafanikio. Mbunge huyo amekuwa akiwaahidi kufika na kutatua tatizo lao lakini hatokei hata maramoja.
Je halii hii itakuwa hivi hadi lini? AZAN SAIDIA KILIO CHA WANANCHI WA JIMBO LAKO

No comments:

Post a Comment