Mbunifu Maarufu wa mavazi Nchini Mustafa Hassanali anatarajia kufanya onyesho la mavazi la aina yake ya kuvutia kwa jina la ‘MALKIA’ siku ya JUMAMOSI TAREHE 7 FEBRUARI katika ukumbi wa LITTLE THEATRE iliopo kando na KANISA LA ST.PETERS katika barabara ya Haile Sellasie road.Onyesho la ‘Malkia’ litaonyesha ubunifu mpya na wa kisasa zaidi wa mavazi ya harusi. Onyesho hili limedhaminiwa na Zain, Stella Artois na MotoMedia.
No comments:
Post a Comment