.

.

.

.

Sunday, February 15, 2009

UWANJA MPYA TZ WAFUNGULIWA RASMI

Rais JK na Mgeni wake Rais Hu Jintao wa China wakishangilia mara baada ya kuzindua kwa pamoja uwanja mpya wa taifa Dar es Salaam jana. Uwanja huu umejengwa ikiwa ni Juhudi za Rais wa Awamu ya tatu Benjamin Mkapa aliyowahidi watanzania kuwaachia baada ya utawala wake. Serikali za China na Tanzania zilishirikiana katika ujenzi wake. Pia uwanja wa zamani wa taifa umebadilishwa jina na sasa utaitwa Uwanja wa Uhuru a.k.a Shamba la bibi.

No comments:

Post a Comment