.

.

.

.

Wednesday, March 04, 2009

JK KAMBINI KIBAHA


Rais JK akikaribishwa na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange kuzindua kamandi ya jeshi la ardhini katika kambi ya Nyerere maeneo ya Msigani, Kibaha, Mkoa wa Pwani leo. Kulia ni Meja Jenerali Wynjones Kisamba ambaye ndiye kamanda wa kamandi hiyo

No comments:

Post a Comment