.

.

.

.

Wednesday, March 04, 2009

MH.PINDA NDANI YA UK

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitia saini kitabu cha wageni huku akiangaliwa na Balozi M.Maajar baada ya kuwasili kwenye Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza March 2, 2009 na kuzungumza na wafanyakazi wa ubalozi huo na baadhi ya watanzania waishio nchini Uingereza.

No comments:

Post a Comment