.
.
Sunday, March 08, 2009
MITINDO HOUSE NA SIKU YA KINAMAMA DUNIANI
Tanzania Mitindo house pia iliandaa chakula cha mchana katika hafla fupi ya kuadhimisha siku ya wanawake duniani leo kwenye ukumbi wa utamaduni wa Russia
Madhumuni makubwa ya hafla hiyo ikiwa ni kuwakutanisha wanawake kutoka sekta mbalimbali kuzungumza,kupata chakula cha mchana,kucheza na kufurahi pamoja.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment