
Baadhi ya wanafunzi wa
shule ya Sekondari Lupanga ya Manispaa ya Morogoro wakiwa nje na madarasa yao jana wakiendelea na mgomo wa kutoingia madarasani wakisulutisha kwanza walimu watano wa kiume wa shule hiyo waliokubuhu kwa
vitendo vya ngono na baadhi ya wanafunzi wa kike wa waadhibiwe kwanza.
No comments:
Post a Comment