.

.

.

.

Monday, April 06, 2009

ASHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA

mama wa mitindo Asia Idarous akimlisha keki Nyota ( muimbaji wa wana NJENJE ) huku marafiki wakishuhudia , hii ilikuwa moja ya keki mbili ambazo marafiki walimuandalia NYOTA kusherehekea siku ya kuzaliwa kwake jumamosi usiku ukumbi wa new msasani club nyuma ya Ubalozi wa Marekani ukumbi ambao The kilimanjaro band wana njenje hupiga kila jumamosi

No comments:

Post a Comment