.

.

.

.

Saturday, April 04, 2009

KICHEKO CHA WAPINZANI

Rais Jakaya Kikwete akiongozana na mwenyekiti wa Chama cha CUF Mh. Ibrahim Lipumba kushoto na katibu mkuu wa chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad kulia wakati wakitoka kwenye ukumbi hoteli ya Lamada ambako ndiko kulikofanyika Ibada ya kumuombea Marehemu Shaban Khamis Mloo aliyefarikihivi karibuni

No comments:

Post a Comment