.

.

.

.

Friday, April 03, 2009

SHAHIDI KESI YA ZOMBE AFARIKI DUNIA


Koplo Rashid Lema (Kulia Pichani) , mshtakiwa wa 11 katika kesi ya mauaji ya wafanyabiashara watatu na dereva wa teksi, jijini Dar amefariki dunia alfajiri ya leo katika hospitali ya Ocean Road jijini, alikohamishiwa baada ya kulazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa muda.

Koplo Lema, ambaye ni shahidi muhimu wa utetezi kulingana na maelezo yake ya awali katika kesi hiyo, alilazimika kulazwa Muhimbili akitokea katika Hospitali ya Wilaya ya Temeke alikokuwa amelazwa tangu kiasi cha wiki tatu zilizopita.

No comments:

Post a Comment