Modoz wakionyesha kanga zao .Onesho hilo lilifanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee na kuandaliwa na Fabac Fashion, chini ya Mwanamitindo Asia Idarous ikishirikisha wabunifu wengine kama Francwaa, Zamda George, Paka Wear, Farha na wengine, burudani zikitolewa na Spice Molden Taarab kutoka Zanzibar na Kalunde Band ya Deo Mwanambilimbi.
Mercy Galabawa wa pili kutoka kulia na Pita Mwendapole wa New Habari Cooperationa wakiwa na marafiki zao katika onyesho hilo
Kuazia kulia ni Babu Njenje, Kanumba, Ray na Richard wakiwa katika ukumbi wa Diamaond Jubilee kujionea kilichokuwa kikiendelea katika onyesho jlio.
Kalunde Band wakitumbuiza katika onyesho hilo huku wakiwa wamejipigilia vivazi vilivyotengenezwa kwa Khanga.
No comments:
Post a Comment