Mary J Bridge na Kisha Whitaker wakiondoka mnusoni usiku wa jana.
Mwanamuziki Tearri Marie akiwa na kisunupii chake cheusi wakikakatiza katikati ya mitaa ya Beverly Hills jana jioni.
Rihanna mchana wa jAna akiwa amekomelea Gucci toka juu mpaka chini.
Rihanna akitoka katika hotel ya Manhattan akiwa amepigilia pamba murua na boots za kufa mtu usiku wa jana .
Huko UK hakuna mastaa?? Kila siku mastaa wa USA, inabidi uiite hii blog yako "Matukio US"
ReplyDelete