Walimbwende kumi kati ya 20 waliochujwa na kubakia kumi wanategemea kupambana katika shindano la kutafuta nafasi ya Miss Mzizima ambalo litafanyika mwezi wa sita taraehe ya 6. Mkurugenzi wa shindano hilo alisema kuwa, warembo hao yaliyoanza mazoezi tarehe 5 mwezi huu na kuwa kila kitu kipo tayari kinachosubiriwa ni siku yenyewe ya shindano.
(Picha na habari kwa hisani ya Pwaniraha.com)
No comments:
Post a Comment