Mkurugenzi wa Benchmark Production Rita Paulsen(katikati)akiongea na waandishi wa habari juu ya kutangaza zawadi kwa washindi wa Bongo Star search(BSS)(kushoto) Brand Manager wa Kilimanjaro George Kavishe(kulia) na Meneja Udhamini wa Vodacom Tanzania Emillian Rwejuna.Mashindano haya yatafanyika Diamond Jubilee Jumanne ijayo.
No comments:
Post a Comment